download Kiswahili kidato cha nne pdf | mada za kiswahili kidato cha nne | kiswahili notes form 4 | notes za kiswahili kidato cha nne mada zote pdf notes | kiswahili notes form 4 4m4 notes kiswahili | kiswahili form 4 notes pdf download all topics of kiswahili
kiswahili form 4 topics | mada za kiswahili form four | Mada za kiswahili kidato cha nne
Zinazohusiana
KISWAHILI KIDATO CHA NNE MADA YA 1
1. Kuongeza Msamiati Wa Kiswahili
- Uundaji wa Maneno
- Elezea njia mbalimbali za uundaji maneno
- Elezea mazingira yanayoelezea kuhitaji maneno mapya
- Unda maneno katika miktadha mbalimbali
KISWAHILI KIDATO CHA NNE MADA YA 2
2. Ukuaji Na Ueneaji Wa Kiswahili Enzi Ya Waingereza Na Baada Ya Uhuru
- Ukuaji na ueneaji wa Kiswahili katika enzi ya Waingereza
- Elezea mambo waliyochangia waingereza katika ukuaji wa Kiswahili nchini Tanzania
- Ukuaji na Ueneaji wa Kiswahili baada ya Uhuru
- Elezea shughuli mbalimbali zinazowezesha kukua na kuenea kwa Kiswahili nchini
- Elezea dhima ya kila asasi inayokuza Kiswahili
KISWAHILI KIDATO CHA NNE MADA YA 3
3. Uhakiki Wa Kazi Za Fasihi Andishi
- Uhakiki wa Ushairi, Tamthiliya na Riwaya
- Fafanua vipengele vya uhakiki
- Baini taarifa muhimu za mwandishi wa kila kitabu
KISWAHILI KIDATO CHA NNE MADA YA 4
4. Kutunga Kazi Za Fasihi Andishi
- Utungaji wa Mashairi
- Fafanua mambo ya kuzingatia katika utungaji wa mashairi
KISWAHILI KIDATO CHA NNE MADA YA 5
- Uandishi wa Insha za Kiada
- Elezea muundo wa insha za kaida
- Uandishi wa Hotuba
- Elezea muundo wa hotuba
- Uandishi wa Risala
- Elezea muundo wa risala
- Uandishi wa kumbukumbu za Mikutano
- Elezea mambo ya kuzingatia katika uchukuaji wa kumbukumbu za mikutano
KISWAHILI KIDATO CHA NNE MADA YA 6
- Ufahamu wa Kusikiliza
- Jibu maswali ya habari uliyosikiliza
- Fupisha habari
- Ufahamu wa Kusoma
- Jibu maswali kutokana na habari ndefu uliyosoma
- Fupisha habari ndefu uliyosoma
notes za kiswahili kidato cha nne | mada za kiswahili kidato cha nne
pdf
MADA ZA KISWAHILI KIDATO CHA NNE
Nukuu za somo kiswahili kidato cha nne zimejumuisha mada zote za kiswahili kwa kidato cha nne
download Kiswahili kidato cha nne pdf | mada za kiswahili kidato cha nne |
kiswahili notes form 4 | notes za kiswahili kidato cha nne mada zote
pdf notes | kiswahili notes form 4 | 4m4 notes kiswahili | kiswahili form 4
notes pdf download all topics of kiswahili
