download Kiswahili kidato cha nne pdf | mada za kiswahili kidato cha nne | kiswahili notes form 4 | notes za kiswahili kidato cha nne mada zote pdf notes | kiswahili notes form 4 4m4 notes kiswahili | kiswahili form 4 notes pdf download all topics of kiswahili
kiswahili form 4 topics | mada za kiswahili form four | Mada za kiswahili kidato cha nne
Zinazohusiana
KISWAHILI KIDATO CHA NNE MADA YA 1
1. Kuongeza Msamiati Wa Kiswahili
- Uundaji wa Maneno
- Elezea njia mbalimbali za uundaji maneno
- Elezea mazingira yanayoelezea kuhitaji maneno mapya
- Unda maneno katika miktadha mbalimbali
KISWAHILI KIDATO CHA NNE MADA YA 2
2. Ukuaji Na Ueneaji Wa Kiswahili Enzi Ya Waingereza Na Baada Ya Uhuru
- Ukuaji na ueneaji wa Kiswahili katika enzi ya Waingereza
- Elezea mambo waliyochangia waingereza katika ukuaji wa Kiswahili nchini Tanzania
- Ukuaji na Ueneaji wa Kiswahili baada ya Uhuru
- Elezea shughuli mbalimbali zinazowezesha kukua na kuenea kwa Kiswahili nchini
- Elezea dhima ya kila asasi inayokuza Kiswahili
KISWAHILI KIDATO CHA NNE MADA YA 3
3. Uhakiki Wa Kazi Za Fasihi Andishi
- Uhakiki wa Ushairi, Tamthiliya na Riwaya
- Fafanua vipengele vya uhakiki
- Baini taarifa muhimu za mwandishi wa kila kitabu
KISWAHILI KIDATO CHA NNE MADA YA 4
4. Kutunga Kazi Za Fasihi Andishi
- Utungaji wa Mashairi
- Fafanua mambo ya kuzingatia katika utungaji wa mashairi
KISWAHILI KIDATO CHA NNE MADA YA 5
- Uandishi wa Insha za Kiada
- Elezea muundo wa insha za kaida
- Uandishi wa Hotuba
- Elezea muundo wa hotuba
- Uandishi wa Risala
- Elezea muundo wa risala
- Uandishi wa kumbukumbu za Mikutano
- Elezea mambo ya kuzingatia katika uchukuaji wa kumbukumbu za mikutano
KISWAHILI KIDATO CHA NNE MADA YA 6
- Ufahamu wa Kusikiliza
- Jibu maswali ya habari uliyosikiliza
- Fupisha habari
- Ufahamu wa Kusoma
- Jibu maswali kutokana na habari ndefu uliyosoma
- Fupisha habari ndefu uliyosoma
MADA ZA KISWAHILI KIDATO CHA NNE
Nukuu za somo kiswahili kidato cha nne zimejumuisha mada zote za kiswahili kwa kidato cha nne