Azimio la Kazi Kiswahili Darasa la Tatu 2026 PDF Download
Nini Maana ya Azimio la Kazi?
Azimio la kazi (kwa Kiingereza: scheme of work) ni mpango kazi (mpango wa ufundishaji) unaoandaliwa na mwalimu ili kuonesha ratiba na mpangilio wa kufundisha mada mbalimbali kulingana na muhtasari wa somo husika. Huu ni mwongozo wa ufundishaji unaomsaidia mwalimu kufikia malengo ya somo kwa ufanisi zaidi.
Azimio la Kazi Kiswahili Darasa la Tatu 2026
linapatikana kwa bei ya Tsh 2500,
limeandaliwa kwa kuzingatia
mtaala mpya wa elimu
.
Utapokea nakala ya azimio ulilolipia kupitia WhatsApp baada ya kutuma uthibitisho wa malipo.
Namba za malipo
| Airtel Money | |
|---|---|
| M-Pesa | |
| Tigo Pesa | |
| Halo Pesa | |
| Jina: WAZIRI NTATIE | |
Utapokea nakala ya azimio ulilolipia kupitia WhatsApp baada ya kutuma uthibitisho wa malipo.
Mfano wa Azimio la Kazi Kiswahili Darasa la Tatu (PDF) 2026
Unahitaji mfano wa azimio la kazi la Kiswahili darasa la tatu? Pakua Mfano wa PDF Hapa .
Azimio la Kazi Kiswahili Darasa la Tatu 2026 – Mtaala Mpya
Kwa wanaohitaji azimio la kazi lililoandaliwa kwa mujibu wa mtaala mpya wa elimu, bofya hapa kupata PDF .
Jinsi ya Kuandika Azimio la Kazi Kiswahili Darasa la Tatu 2026
- Taja malengo ya somo la Kiswahili kwa uwazi.
- Bainisha vifaa na nyenzo za kufundishia lugha.
- Panga hatua za ufundishaji kulingana na mada za Kiswahili.
- Weka muda na mbinu za kufundisha kila mada.
Kwa mahitaji ya azimio wasiliana nasi hapa chini
UMUHIMU WA AZIMIO LA KAZI KISWAHILI 2026
- Humsaidia mwalimu kupanga mada za Kiswahili kwa mpangilio bora.
- Huonyesha mwenendo wa ufundishaji wa lugha kwa urahisi wa ufuatiliaji.
- Huongeza ubunifu wa mwalimu katika kufundisha kusoma, kuandika na kuzungumza.
- Husaidia kutambua zana na mbinu sahihi za kufundishia Kiswahili.