Visit Website

Azimio la Kazi Kuandika Darasa la Kwanza 2026 PDF Download

Azimio la Kazi Kuandika Darasa la Kwanza 2026 PDF Download

Join Our Groups

Azimio la Kazi Kuandika Darasa la Kwanza 2026 PDF Download

Nini Maana ya Azimio la Kazi?

Azimio la kazi(kwa Kiingereza: scheme of work) ni mpango kazi (mwongozo) unaoandaliwa na mwalimu ambao unaonesha mpangilio wa kufundisha mada mbalimbali kwa kipindi maalumu katika muhtasari wa somo husika. Huo ni mpango wa ufundishaji kwa kipindi fulani ambao kila mwalimu anauandaa ili kukidhi lengo la ufundishaji.

Azimio la kazi Kuandika darasa la kwanza 2026 linapatikana kwa Tsh 2500, Azimio la kazi limeandaliwa kwa kuzingatia mtaala mpya wa Elimu.

Namba za malipo.

Airtel money 0684 123 456
M-pesa 0757 123 456
Tigo pesa 0713 123 456
Halo pesa 0628 123 456
Jina: WAZIRI NTATIE

Utapokea azimio ulilolipia kwa njia ya WhatsApp baada ya kukamilisha malipo na kututumia uthibitisho wa malipo kupitia WhatsApp.

Mfano wa Azimio la Kazi Kuandika Darasa la Kwanza (PDF) 2026

Unahitaji mfano wa azimio la kazi kuandika darasa la kwanza? Pakua Mfano wa PDF Hapa.

Azimio la Kazi Kuandika Darasa la Kwanza 2026 – Mtaala Mpya

Ikiwa unatafuta azimio la kazi kwa mtaala mpya wa elimu, Bofya hapa kwa PDF.

Jinsi ya Kuandika Azimio la Kazi Kuandika Darasa la Kwanza 2026

  • Weka malengo wazi ya kimsingi ya uandishi
  • Tambua vifaa na rasilimali za kufundishia uandishi
  • Andika hatua kwa mpangilio kutoka rahisi kwenda ngumu
  • Bainisha muda na majukumu ya mwalimu na mwanafunzi
  • Weka shughuli za vitendo za kuimarisha uandishi
Kwa mahitaji ya azimio wasiliana nasi hapa chini

UMUHIMU WA AZIMIO LA KAZI KUANDIKA 2026

  • Kumsaidia mwalimu kufundisha uandishi kwa mpangilio sahihi
  • Kuhakikisha wanafunzi wanajifunza kuandika kwa hatua kwa hatua
  • Kumwezesha mwalimu kufuatilia maendeleo ya wanafunzi katika uandishi
  • Kuhakikisha kufunikwa kwa mada zote muhimu za uandishi darasani
  • Kumwezesha mwalimu kutumia nyenzo sahihi za kufundishia uandishi

Join Our Groups

Post a Comment

Visit Website
Visit Website