Azimio la Kazi Kuhesabu Darasa la Kwanza 2026 PDF Download
Nini Maana ya Azimio la Kazi?
Azimio la kazi(kwa Kiingereza: scheme of work) ni mpango kazi (mwongozo) unaoandaliwa na mwalimu ambao unaonesha mpangilio wa kufundisha mada mbalimbali kwa kipindi maalumu katika muhtasari wa somo husika. Huo ni mpango wa ufundishaji kwa kipindi fulani ambao kila mwalimu anauandaa ili kukidhi lengo la ufundishaji.
Azimio la kazi Kuhesabu darasa la kwanza 2026 linapatikana kwa Tsh 2500, Azimio la kazi limeandaliwa kwa kuzingatia mtaala mpya wa Elimu.
Utapokea azimio ulilolipia kwa njia ya WhatsApp baada ya kukamilisha malipo na kututumia uthibitisho wa malipo kupitia WhatsApp.
Namba za malipo.
| Airtel money | 0684 123 456 |
|---|---|
| M-pesa | 0757 123 456 |
| Tigo pesa | 0713 123 456 |
| Halo pesa | 0628 123 456 |
| Jina: WAZIRI NTATIE | |
Utapokea azimio ulilolipia kwa njia ya WhatsApp baada ya kukamilisha malipo na kututumia uthibitisho wa malipo kupitia WhatsApp.
Mfano wa Azimio la Kazi Kuhesabu Darasa la Kwanza (PDF) 2026
Unahitaji mfano wa azimio la kazi kuhesabu darasa la kwanza? Pakua Mfano wa PDF Hapa.
Azimio la Kazi Kuhesabu Darasa la Kwanza 2026 – Mtaala Mpya
Ikiwa unatafuta azimio la kazi kwa mtaala mpya wa elimu, Bofya hapa kwa PDF.
Jinsi ya Kuandika Azimio la Kazi Kuhesabu Darasa la Kwanza 2026
- Weka malengo wazi ya kimsingi ya kuhesabu
- Tambua vifaa na rasilimali za kufundishia hesabu
- Andika hatua kwa mpangilio kutoka rahisi kwenda ngumu
- Bainisha muda na majukumu ya mwalimu na mwanafunzi
- Weka shughuli za vitendo za kuimarisha ujuzi wa kuhesabu
- Toa mazoezi ya kutumia namba katika maisha ya kila siku
Kwa mahitaji ya azimio wasiliana nasi hapa chini
UMUHIMU WA AZIMIO LA KAZI KUHESABU 2026
- Kumsaidia mwalimu kufundisha hesabu kwa mpangilio sahihi
- Kuhakikisha wanafunzi wanajifunza kuhesabu kwa hatua kwa hatua
- Kumwezesha mwalimu kufuatilia maendeleo ya wanafunzi katika ujuzi wa hesabu
- Kuhakikisha kufunikwa kwa mada zote muhimu za hesabu darasani
- Kumwezesha mwalimu kutumia nyenzo sahihi za kufundishia hesabu
- Kuwapa msingi imara wa hesabu kwa wanafunzi wa darasa la kwanza