Visit Website

Azimio la Kazi Stadi za Kazi Darasa la Saba 2026 PDF Download Mtaala Mpya

Azimio la Kazi Stadi za Kazi Darasa la Saba 2026 PDF Download Mtaala Mpya

Join Our Groups

Azimio la Kazi Stadi za Kazi Darasa la Saba 2026 PDF Download Mtaala Mpya

Nini Maana ya Azimio la Kazi?

Azimio la kazi (kwa Kiingereza: scheme of work) ni mpango kazi (mwongozo) unaoandaliwa na mwalimu ambao unaonesha mpangilio wa kufundisha mada mbalimbali kwa kipindi maalumu katika muhtasari wa somo husika. Huo ni mpango wa ufundishaji kwa kipindi fulani ambao kila mwalimu anauandaa ili kukidhi lengo la ufundishaji.

Azimio la kazi Stadi za Kazi darasa la saba 2026 linapatikana kwa Tsh 2500, Azimio la kazi limeandaliwa kwa kuzingatia mtaala mpya wa Elimu.

Namba za malipo.

Airtel money
M-pesa
Tigo pesa
Halo pesa
Jina: WAZIRI NTATIE

Utapokea azimio ulilolipia kwa njia ya WhatsApp baada ya kukamilisha malipo na kututumia uthibitisho wa malipo kupitia WhatsApp .

Mfano wa Azimio la Kazi Stadi za Kazi Darasa la Saba (PDF) 2026

Unahitaji mfano wa azimio la kazi stadi za kazi darasa la saba? Pakua Mfano wa PDF Hapa.

Azimio la Kazi Stadi za Kazi Darasa la Saba 2026 – Mtaala Mpya

Ikiwa unatafuta azimio la kazi kwa mtaala mpya wa elimu, Bofya hapa kwa PDF.

Jinsi ya Kuandika Azimio la Kazi Stadi za Kazi Darasa la Saba 2026

  • Weka malengo wazi kulingana na muhtasari wa somo
  • Tambua vifaa na rasilimali za vitendo za kufundishia stadi za kazi
  • Andika hatua kwa mpangilio wa mantiki
  • Bainisha muda na majukumu kwa kila mada
  • Zingatia mbinu mbadala za kufundisha stadi mbalimbali za kazi

Mada Kuu za Stadi za Kazi Darasa la Saba

Azimio la kazi hili linashughulikia mada zote muhimu za stadi za kazi darasa la saba kwa mtaala mpya:

  • Ufundi wa msingi (Seramala, Fundi umeme, Fundi bomba)
  • Usanifu na ubunifu
  • Ushonaji na utengenezaji wa nguo
  • Upishi na usimamizi wa vyakula
  • Kilimo na ufugaji wa kisasa
  • Ukarabati na utunzaji wa vifaa
  • Usimamizi wa rasilimali na uwekezaji
Kwa mahitaji ya azimio wasiliana nasi hapa chini

UMUHIMU WA AZIMIO LA KAZI 2026

  • Kumsaidia mwalimu kwenda na mpangilio mzuri wa mada.
  • Humsaidia mwalimu wapi alipofikia na kumfanya mwalimu anayempokea somo lake kujua wapi alipoishia.
  • Kujua muda wa kumaliza mada yake/zake.
  • Kumwezesha mwalimu kujua zana atakazozitumia katika ufundishaji wake.
  • Kuhakikisha mafunzo yanafuata muhtasari na mtaala wa somo la stadi za kazi.

Join Our Groups

Post a Comment

Visit Website
Visit Website