Azimio la Kazi Sanaa na Michezo Darasa la Tatu 2026 PDF Download
Nini Maana ya Azimio la Kazi?
Azimio la kazi (kwa Kiingereza: scheme of work) ni mpango kazi (mpango wa ufundishaji) unaoandaliwa na mwalimu kwa ajili ya kuonesha ratiba ya kufundisha mada mbalimbali kulingana na muhtasari wa somo husika. Huu ni mwongozo unaosaidia kupanga na kutekeleza malengo ya ufundishaji katika kipindi fulani cha masomo.
Azimio la Kazi Sanaa na Michezo Darasa la Tatu 2026
linapatikana kwa bei ya Tsh 2500, limeandaliwa kwa kuzingatia
mtaala mpya wa Elimu
.
Utapokea nakala ya azimio ulilolipia kupitia WhatsApp baada ya kutuma uthibitisho wa malipo.
Namba za malipo
| Airtel Money | |
|---|---|
| M-Pesa | |
| Tigo Pesa | |
| Halo Pesa | |
| Jina: WAZIRI NTATIE | |
Utapokea nakala ya azimio ulilolipia kupitia WhatsApp baada ya kutuma uthibitisho wa malipo.
Mfano wa Azimio la Kazi Sanaa na Michezo Darasa la Tatu (PDF) 2026
Unahitaji mfano wa azimio la kazi la Sanaa na Michezo darasa la tatu? Pakua Mfano wa PDF Hapa .
Azimio la Kazi Sanaa na Michezo Darasa la Tatu 2026 – Mtaala Mpya
Kwa wanaohitaji azimio la kazi kulingana na mtaala mpya wa elimu, bofya hapa kupata PDF .
Jinsi ya Kuandika Azimio la Kazi Sanaa na Michezo Darasa la Tatu 2026
- Taja malengo ya somo kwa uwazi.
- Bainisha vifaa na rasilimali za kufundishia.
- Panga hatua za ufundishaji kwa mpangilio wa mada.
- Weka muda wa kufundisha na tathmini kila somo.
Kwa mahitaji ya azimio wasiliana nasi hapa chini
UMUHIMU WA AZIMIO LA KAZI SANAA NA MICHEZO 2026
- Humsaidia mwalimu kupanga ratiba ya mada kwa ufanisi.
- Huonyesha maendeleo ya ufundishaji kwa urahisi wa ufuatiliaji.
- Huongeza ubunifu katika ufundishaji wa somo la Sanaa na Michezo.
- Huwezesha mwalimu kufahamu vifaa muhimu vya kufundishia kila mada.