OFISI YA RAIS
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA
MITAA
AZIMIO LA KAZI
JINA
LA SHULE: _______________________________________________________
JINA
LA MWALIMU: ___________________________________________________
SOMO:
HISTORIA YA TANZANIA NA MAADILI
DARASA:
DARASA LA TATU
MUHULA:
1 & 2
MWAKA:
2025
|
UMAHIRI MKUU |
UMAHIRI MAHSUSI |
SHUGHULI KUU ZA
UJIFUNZAJI |
SHUGHULI NDOGO NDOGO ZA UJIFUNZAJI |
MWEZI |
WIKI |
VIPINDI |
MBINU ZA UFUNDISHAJI NA UJIFUNZAJI |
ZANA ZA UFUNDISHAJI NA UJIFUNZAJI |
ZANA ZA UPIMAJI |
REJEA |
MAONI |
|
1.0 KULINDA HISTORIA YA TANZANIA,
URITHI NA MAADILI YA TAIFA |
1.1 KUMUDU DHANA YA HISTORIA YA
TANZANIA, URITHI NA MAADILI |
Kuwsaongoza
wanafunzi Kueleza dhana ya Historia ya Tanzania, urithi na maadili (maana,
umuhimu) |
Kueleza
dhana ya Historia ya Tanzania, urithi na maadili (maana, umuhimu) |
J A N U A R I |
2 |
5 |
Bunguabongo,
chanaganyakete, kutumia Tehama Kisamafunzo, igizo dima, kutumia TEHAMA |
-Matini ya Historia ya
Tanzania na Maadili - Picha zinazoonesha
historia ya Tanzania maadili na urithi Michoro/picha/ picha
mguso zinazoonesha vitendo vya maadili |
Maswali na maibu, mazoezi, majaribio |
T.E.T.
(2023) HISTORIA YA TANZANIA NA MAADILI, Kitabu Cha Mwanafunzi Darasa la III, Dar es Salaam |
|
|
Kuwaongoza wanafunzi Kubaini vitendo vya kimaadili na umuhimu wake |
Kubaini vitendo vya kimaadili na umuhimu wake |
3 |
5 |
||||||||
|
4 |
5 |
||||||||||
|
1.2 KUMUDU MAARIFA YA JAMII INAYOMZUNGUKA |
Kuwaongoza wanafunzi Kubaini wajibu na haki zake katika familia na shuleni |
Kubaini wajibu na haki zake katika familia na shuleni |
F E B R J A R I |
1 |
|
Utafiti mdogo, chanaganyakete |
Matini ya Historia ya
Tanzania na Maadili - Chati yenye kuonesha wajibu wa mtoto katika shule na familia |
Maswali na maibu, mazoezi, majaribio |
|||
|
Kuwaongoza wanafunzi Kuonesha matendo ya kuheshimu wengine, kutii sheria, kujithamini, kujali na kushirikiana na watu wengine nyumbani na shuleni |
Kuonesha matendo ya kuheshimu wengine, kutii sheria, kujithamini, kujali na kushirikiana na watu wengine nyumbani na shuleni |
2 |
5 |
Igizodhma, maswali na majibu, majadiliano |
Maswali na maibu, mazoezi, majaribio |
||||||
|
3 |
5 |
||||||||||
|
Kuwaongoza wanafunzi Kueleza maarifa na ujuzi wa asili wa jamii inayomzunguka (katika kilimo, utunzaji wa mazingira, dawa, dini nk) |
Kueleza maarifa na ujuzi wa asili wa jamii inayomzunguka (katika kilimo, utunzaji wa mazingira, dawa, dini nk) |
4 |
5 |
Utafiti mdogo, matembezi ya garali |
-Mazao mbalimbali Picha zenye kuonesha mazao ya kilimo, dawa na utunzaji wa mazingira |
Maswali na maibu, mazoezi, majaribio |
|||||
|
Kuwaongoza wanafunzi Kueleza maarifa na ujuzi wa asili wa
jamii inayomzunguka (katika kilimo, utunzaji wa mazingira, dawa, dini nk) |
Kueleza maarifa na ujuzi wa asili wa jamii inayomzunguka (katika kilimo, utunzaji wa mazingira, dawa, dini nk) |
M A C H I |
1 |
5 |
Utafiti mdogo, matembezi ya garali |
Maswali na maibu, mazoezi, majaribio |
|||||
|
1.3 KUTUMIA MAARIFA NA
UJUZI WA ASILI WA JAMII INAYOMZUNGUKA KUSIMULIA ASILI, URITHI, NA MAADILI YA
JAMII HUSIKA |
Kuwaongoza wanafunzi Kubaini asili za jamii zinazomzunguka (tamaduni, mavazi, chakula, ngoma, nyimbo) |
Kubaini asili za jamii zinazomzunguka (tamaduni, mavazi, chakula, ngoma, nyimbo) |
2 |
5 |
Igizo dhima, utafiti mdogo, kutumia TEHAMA |
-
Michoro/picha yenye ngoma za asili ya jamii -
Mavazi ya makabila ya Kitanzania - Picha zenye kuonesha vyakula vya jamii tofauti |
Maswali na maibu, mazoezi, majaribio |
||||
|
Kuwaongoza wanafunzi Kufafanua umuhimu wa maarifa, ujuzi wa asili na urithi wa kihistoria kwa maendeleo ya kiuchumi na kijamii |
Kufafanua umuhimu wa maarifa, ujuzi wa asili na urithi wa kihistoria kwa maendeleo ya kiuchumi na kijamii |
3 |
5 |
Mtaalamu mwalikwa, maswali na majibu |
Maswali na maibu, mazoezi, majaribio |
||||||
|
MITIHANI YA
NUSU MUHULA WA KWANZA |
|||||||||||
|
LIKIZO FUPI
KUANZIA TAREHE 28/03/2024 HADI 08/04/2024 |
|||||||||||
|
UMAHIRI MKUU |
UMAHIRI MAHSUSI |
SHUGHULI KUU ZA
UJIFUNZAJI |
SHUGHULI NDOGO NDOGO ZA UJIFUNZAJI |
MWEZI |
WIKI |
VIPINDI |
MBINU ZA UFUNDISHAJI NA UJIFUNZAJI |
ZANA ZA UFUNDISHAJI NA UJIFUNZAJI |
ZANA ZA UPIMAJI |
REJEA |
MAONI |
|
|
|
Kuwaongoza wanafunzi Kubaini mbinu za kutumia maarifa na ujuzi wa asili (katika kilimo, utunzaji wa mazingira, dawa, dini) katika kuboresha ustawi wa jamii |
Kubaini mbinu za kutumia maarifa na ujuzi wa asili (katika kilimo, utunzaji wa mazingira, dawa, dini) katika kuboresha ustawi wa jamii |
A P R I L I |
2 |
5 |
Utafiti mdogo, chanaganya kete |
Picha/picha mguso/ michoro yenye kuonesha shughuli za kilimo, |
Maswali na maibu, mazoezi, majaribio |
T.E.T. (2023) HISTORIA YA TANZANIA NA MAADILI, Kitabu Cha Mwanafunzi Darasa la III, Dar es Salaam |
|
|
Kuwaongoza wanafunzi Kusimulia maarifa na ujuzi wa asili na maadili katika mazingira yake (mf. nyumbani, shuleni) |
Kusimulia maarifa na ujuzi wa asili na maadili katika mazingira yake (mf. nyumbani, shuleni) |
3 |
5 |
Fikiri-Andika-JozishaShirikisha, mawali na maibu |
Picha za vitu vya asili |
Maswali na maibu, mazoezi, majaribio |
|||||
|
Kuwaongoza wanafunzi Kusimulia maarifa na ujuzi wa asili na maadili katika mazingira yake (mf. nyumbani, shuleni) |
i Kusimulia maarifa na ujuzi wa asili na maadili katika mazingira yake (mf. nyumbani, shuleni) |
4 |
5 |
Fikiri-Andika-JozishaShirikisha, mawali na maibu |
Picha za vitu vya asili |
Maswali na maibu, mazoezi, majaribio |
|||||
|
Kuwaongoza wanafunzi Kueleza thamani ya asili na urithi wa
kihistoria katika jamii inayomzunguka |
Kueleza thamani ya asili na urithi wa kihistoria katika jamii inayomzunguka |
M E I |
1-3 |
15 |
Ziara za kimasomo, v, maswali na maibu |
Vitu vya asili na urithi wa kihistoria |
Maswali na maibu, mazoezi, majaribio |
||||
|
MITIHANI YA
MUHULA WA KWANZA |
|||||||||||
|
LIKIZO YA
MUHULA WA KWANZA TAREHE 31/05/2024 HADI 01/07/2024 |
|||||||||||
|
|
1.4 KUTATHMINI USHIRIKIANO BAINA YA JAMII ZA KITANZANIA KATIKA KUJENGA UHUSIANO WA KIJAMII NA |
Kuwaongoza wanafunzi Kueleza uhusiano wake na jamii inayomzunguka (nyumbani na shuleni) |
Kueleza uhusiano wake na jamii inayomzunguka (nyumbani na shuleni) |
J U L A I |
1 |
5 |
Uhalisishaji wa tukio, maswali na maibu |
- Picha/picha mguso/ michoro yenye kuonesha matendo ya kuhusiana |
Maswali na maibu, mazoezi, majaribio |
T.E.T. (2023) HISTORIA YA TANZANIA NA MAADILI, Kitabu Cha Mwanafunzi Darasa la III, Dar es Salaam |
|
|
Kuwaongoza wanafunzi Kueleza uhusiano wake na jamii inayomzunguka (nyumbani na shuleni) |
kueleza uhusiano wake na jamii inayomzunguka (nyumbani na shuleni) |
2 |
5 |
Uhalisishaji wa tukio, maswali na maibu |
Maswali na maibu, mazoezi, majaribio |
||||||
|
Kuwaongoza wanafunbzi Kubaini
umuhimu wa uhusiano na ushirikiano wa
familia na rafiki zake |
Kubaini umuhimu wa uhusiano na ushirikiano wa familia na rafiki zake |
3 |
5 |
Kisamafunzo, maswali na majibu |
Picha/picha mguso/ michoro yenye kuonesha shughuli za kijamii na kiuchumi |
Maswali na maibu, mazoezi, majaribio |
|||||
|
Kuwaongoza wanafunbzi Kubaini
umuhimu wa uhusiano na ushirikiano wa
familia na rafiki zake |
Kubaini umuhimu wa uhusiano na ushirikiano wa familia na rafiki zake |
4 |
5 |
Kisamafunzo, maswali na majibu |
Maswali na maibu, mazoezi, majaribio |
||||||
|
UMAHIRI MKUU |
UMAHIRI MAHSUSI |
SHUGHULI KUU ZA
UJIFUNZAJI |
SHUGHULI NDOGO NDOGO ZA UJIFUNZAJI |
MWEZI |
WIKI |
VIPINDI |
MBINU ZA UFUNDISHAJI NA UJIFUNZAJI |
ZANA ZA UFUNDISHAJI NA UJIFUNZAJI |
ZANA ZA UPIMAJI |
REJEA |
MAONI |
|
|
|
Kuwaongoza wanafunzi Kueleza matendo ya kijamii na kiuchumi yanayojenga uhusiano na ushirikiano katika jamii |
Kueleza matendo ya kijamii na kiuchumi yanayojenga uhusiano na ushirikiano katika jamii |
A G O S T I |
1 |
5 |
Utafiti mdogo, mtaalamu mwalikwa |
Picha/picha
mguso/ michoro yenye kuonesha shughuli za kijamii na kiuchumi |
Maswali na maibu, mazoezi, majaribio |
T.E.T. (2023) HISTORIA YA TANZANIA NA MAADILI, Kitabu Cha Mwanafunzi Darasa la III, Dar es Salaam |
|
|
Kuwaongoza wanafunzi Kueleza matendo ya kijamii na kiuchumi yanayojenga uhusiano na ushirikiano katika jamii |
Kueleza matendo ya kijamii na kiuchumi yanayojenga uhusiano na ushirikiano katika jamii |
2 |
5 |
Utafiti mdogo, mtaalamu mwalikwa |
Maswali na maibu, mazoezi, majaribio |
||||||
|
Kuwaongoza wanafunzi Kueleza matendo ya kijamii na kiuchumi yanayojenga uhusiano na ushirikiano katika jamii |
Kueleza matendo ya kijamii na kiuchumi yanayojenga uhusiano na ushirikiano katika jamii |
3 |
5 |
Utafiti mdogo, mtaalamu mwalikwa |
Maswali na maibu, mazoezi, majaribio |
||||||
|
MITIHANI YA
NUSU MUHULA WA PILI |
|||||||||||
|
LIKIZO YA NUSU MUHULA
WA PILI TAREE 30/08/2024 HADI
16/09/2024 |
|||||||||||
|
2.0 KUMUDU HISTORIA YA TANZANIA NA MAADILI KABLA YA UKOLONI |
2.1 KUELEZEA MIFUMO MBALIMBALI YA UTUNZAJI NA UKUZAJI WA MAADILI YA JAMII ZA KITANZANIA KABLA YA UKOLONI |
Kuwaongoza wanafunzi Kueleza mifumo ya uongozi katika ngazi ya familia, ukoo na shule |
Kueleza mifumo ya uongozi katika ngazi ya familia, ukoo na shule |
S E P T |
3 |
5 |
Igizo dhima, utafiti mdogo, kutumia TEHAMA |
- Picha/picha mguso michoro yenye kuonesha misingi ya maadili |
Maswali na maibu, mazoezi, majaribio |
T.E.T. (2023) HISTORIA YA TANZANIA NA MAADILI, Kitabu Cha Mwanafunzi Darasa la III, Dar es Salaam |
|
|
Kuwaongoza wanafunzi Kueleza misingi ya
ukuzaji na utunzaji wa maadili katika jamii inayomzunguka |
Kueleza misingi ya ukuzaji na utunzaji wa maadili katika jamii inayomzunguka |
4 |
5 |
Changanyakete, snowball, nyimbo |
- Chati yenye kuonesha mifumo ya uongozi katika ngazi ya familia na ukoo |
Maswali na maibu, mazoezi, majaribio |
|||||
|
Kuwaongoza
wanafunzi Kueleza mchango wa uongozi wa ukoo katika utunzaji na
ukuzaji wa maadili ya jamii kabla ya ukoloni |
Kueleza mchango wa uongozi wa ukoo katika utunzaji na ukuzaji wa maadili ya jamii kabla ya ukoloni |
O K T |
1-2 |
10 |
Utafiti mdogo, mtaalamu mwalikwa |
Chati yenye kuonesha mifumo ya uongozi katika ngazi ya
familia na ukoo |
Maswali na maibu, mazoezi, majaribio |
||||
|
Kuwaongoza
wanafunzi Kubaini wajibu wa jamii katika ujenzi wa maadili ya familia |
Kubaini wajibu wa jamii katika ujenzi wa maadili ya familia |
N O V |
1-3 |
15 |
Bungua bongo, maswali na majibu, igizo dhima |
- Chati zenye kuonesha wajibu wa jamii katika ujenzi wa
maadili |
Maswali na maibu, mazoezi, majaribio |
||||
|
MITIHANI YA
MUHULA WA PILI |
|||||||||||
|
LIKIZO YA
MUHULA WA PILI TAREHE 06/12/2024 |
|||||||||||
AZIMIO LA KAZI HISTORIA
YA TANZANIA NA MAADILI
DARASA LA TATU 2024
JINA LA MWALIMU: __________________________________
JINA LA SHULE: SHULE YA
MSINGI________________________
MAUDHUI YA HISTORIA A TANZANIA NA
MAADILI DARASA LA TATU.
|
UMAHIRI MKUU |
UMAHIRI
MAHUSUSI |
|
11.0 Kulinda Historia ya Tanzania,
urithi na maadili ya Taifa |
1.1 Kumudu dhana ya Historia ya
Tanzania, urithi na maadili 1.2 Kumudu maarifa ya jamii
inayomzunguka 1.3 Kutumia maarifa na ujuzi wa asili
wa jamii inayomzunguka kusimulia asili, urithi, na maadili ya jamii husika 1.4 Kutathmini ushirikiano baina ya
jamii za Kitanzania katika kujenga uhusiano wa kijamii na kiuchumi |
|
2.0 Kumudu Historia ya Tanzania na
Maadili kabla ya ukoloni |
2.1 Kuelezea mifumo mbalimbali ya
utunzaji na ukuzaji wa maadili ya jamii za Kitanzania kabla ya ukoloni |