Visit Website

code

OFISI YA RAIS

TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

AZIMIO LA KAZI

 

 

JINA LA SHULE: _______________________________________________________

JINA LA MWALIMU: ___________________________________________________

SOMO: HISTORIA YA TANZANIA NA MAADILI

DARASA: DARASA LA TATU

MUHULA: 1 & 2

 

 
MWAKA: 2025

UMAHIRI MKUU

UMAHIRI MAHSUSI

SHUGHULI KUU ZA UJIFUNZAJI

SHUGHULI NDOGO NDOGO ZA UJIFUNZAJI

MWEZI

WIKI

VIPINDI

MBINU ZA UFUNDISHAJI NA UJIFUNZAJI

ZANA ZA UFUNDISHAJI NA UJIFUNZAJI

ZANA ZA UPIMAJI

REJEA

MAONI

1.0 KULINDA HISTORIA YA TANZANIA, URITHI NA MAADILI YA TAIFA

1.1 KUMUDU DHANA YA HISTORIA YA TANZANIA, URITHI NA MAADILI

Kuwsaongoza wanafunzi Kueleza dhana ya Historia ya Tanzania, urithi na maadili (maana, umuhimu)

Kueleza dhana ya Historia ya Tanzania, urithi na maadili (maana, umuhimu)

J

A

N

U

A

R

I

 

2

5

Bunguabongo, chanaganyakete, kutumia Tehama

Kisamafunzo, igizo dima, kutumia TEHAMA

-Matini ya Historia ya Tanzania na Maadili

- Picha zinazoonesha historia ya Tanzania maadili na urithi

Michoro/picha/ picha mguso zinazoonesha vitendo vya maadili

Maswali na maibu, mazoezi, majaribio

 

 

 

 

 

 

 

T.E.T. (2023) HISTORIA YA TANZANIA NA MAADILI, Kitabu Cha Mwanafunzi Darasa la III, Dar es Salaam

 

Kuwaongoza wanafunzi Kubaini vitendo vya kimaadili na umuhimu wake

Kubaini vitendo vya kimaadili na umuhimu wake

3

5

4

5

1.2 KUMUDU MAARIFA YA JAMII INAYOMZUNGUKA

Kuwaongoza wanafunzi Kubaini wajibu na haki zake katika familia na shuleni

Kubaini wajibu na haki zake katika familia na shuleni

 

 

 

 

F

E

B

R

J

A

R

I

 

1

 

Utafiti mdogo, chanaganyakete

Matini ya Historia ya Tanzania na Maadili

- Chati yenye kuonesha wajibu wa mtoto katika shule na familia

Maswali na maibu, mazoezi, majaribio

Kuwaongoza wanafunzi Kuonesha matendo ya kuheshimu wengine, kutii sheria, kujithamini, kujali na kushirikiana na watu wengine nyumbani na shuleni

Kuonesha matendo ya kuheshimu wengine, kutii sheria, kujithamini, kujali na kushirikiana na watu wengine nyumbani na shuleni

2

5

Igizodhma, maswali na majibu, majadiliano

Maswali na maibu, mazoezi, majaribio

3

5

Kuwaongoza wanafunzi Kueleza maarifa na ujuzi wa asili wa jamii inayomzunguka (katika kilimo, utunzaji wa mazingira, dawa, dini nk)

Kueleza maarifa na ujuzi wa asili wa jamii inayomzunguka (katika kilimo, utunzaji wa mazingira, dawa, dini nk)

4

5

Utafiti mdogo, matembezi ya garali

-Mazao mbalimbali Picha zenye kuonesha mazao ya kilimo, dawa na utunzaji wa mazingira

Maswali na maibu, mazoezi, majaribio

Kuwaongoza wanafunzi Kueleza maarifa na ujuzi wa asili wa jamii inayomzunguka (katika kilimo, utunzaji wa mazingira, dawa, dini nk)

Kueleza maarifa na ujuzi wa asili wa jamii inayomzunguka (katika kilimo, utunzaji wa mazingira, dawa, dini nk)

 

 

 

 

 

 

M

A

C

H

I

 

1

5

Utafiti mdogo, matembezi ya garali

Maswali na maibu, mazoezi, majaribio

1.3 KUTUMIA MAARIFA NA UJUZI WA ASILI WA JAMII INAYOMZUNGUKA KUSIMULIA ASILI, URITHI, NA MAADILI YA JAMII HUSIKA

Kuwaongoza wanafunzi Kubaini asili za jamii zinazomzunguka (tamaduni, mavazi, chakula, ngoma, nyimbo)

Kubaini asili za jamii zinazomzunguka (tamaduni, mavazi, chakula, ngoma, nyimbo)

2

5

Igizo dhima, utafiti mdogo, kutumia TEHAMA

- Michoro/picha yenye ngoma za asili ya jamii

- Mavazi ya makabila ya Kitanzania

- Picha zenye kuonesha vyakula vya jamii tofauti

Maswali na maibu, mazoezi, majaribio

Kuwaongoza wanafunzi Kufafanua umuhimu wa maarifa, ujuzi wa asili na urithi wa kihistoria kwa maendeleo ya kiuchumi na kijamii

Kufafanua umuhimu wa maarifa, ujuzi wa asili na urithi wa kihistoria kwa maendeleo ya kiuchumi na kijamii

3

5

Mtaalamu mwalikwa, maswali na majibu

Maswali na maibu, mazoezi, majaribio

MITIHANI YA NUSU MUHULA WA KWANZA

LIKIZO FUPI KUANZIA TAREHE 28/03/2024 HADI 08/04/2024

 


 

UMAHIRI MKUU

UMAHIRI MAHSUSI

SHUGHULI KUU ZA UJIFUNZAJI

SHUGHULI NDOGO NDOGO ZA UJIFUNZAJI

MWEZI

WIKI

VIPINDI

MBINU ZA UFUNDISHAJI NA UJIFUNZAJI

ZANA ZA UFUNDISHAJI NA UJIFUNZAJI

ZANA ZA UPIMAJI

REJEA

MAONI

 

 

Kuwaongoza wanafunzi Kubaini mbinu za kutumia maarifa na ujuzi wa asili (katika kilimo, utunzaji wa mazingira, dawa, dini) katika kuboresha ustawi wa jamii

Kubaini mbinu za kutumia maarifa na ujuzi wa asili (katika kilimo, utunzaji wa mazingira, dawa, dini) katika kuboresha ustawi wa jamii

 

 

 

 

 

 

A

P

R

I

L

I

2

5

Utafiti mdogo, chanaganya kete

Picha/picha mguso/ michoro yenye kuonesha shughuli za kilimo,

Maswali na maibu, mazoezi, majaribio

 

 

 

T.E.T. (2023) HISTORIA YA TANZANIA NA MAADILI, Kitabu Cha Mwanafunzi Darasa la III, Dar es Salaam

 

Kuwaongoza wanafunzi Kusimulia maarifa na ujuzi wa asili na maadili katika mazingira yake (mf. nyumbani, shuleni)

Kusimulia maarifa na ujuzi wa asili na maadili katika mazingira yake (mf. nyumbani, shuleni)

3

5

Fikiri-Andika-JozishaShirikisha, mawali na maibu

Picha za vitu vya asili

Maswali na maibu, mazoezi, majaribio

Kuwaongoza wanafunzi Kusimulia maarifa na ujuzi wa asili na maadili katika mazingira yake (mf. nyumbani, shuleni)

i Kusimulia maarifa na ujuzi wa asili na maadili katika mazingira yake (mf. nyumbani, shuleni)

4

5

Fikiri-Andika-JozishaShirikisha, mawali na maibu

Picha za vitu vya asili

Maswali na maibu, mazoezi, majaribio

Kuwaongoza wanafunzi Kueleza thamani ya asili na urithi wa kihistoria katika jamii inayomzunguka

Kueleza thamani ya asili na urithi wa kihistoria katika jamii inayomzunguka

 

 

M

E

I

 

 

1-3

15

Ziara za kimasomo, v, maswali na maibu

Vitu vya asili na urithi wa kihistoria

Maswali na maibu, mazoezi, majaribio

MITIHANI YA MUHULA WA KWANZA

LIKIZO YA MUHULA WA KWANZA TAREHE 31/05/2024 HADI 01/07/2024

 

1.4 KUTATHMINI USHIRIKIANO BAINA YA JAMII ZA KITANZANIA KATIKA KUJENGA UHUSIANO WA KIJAMII NA

Kuwaongoza wanafunzi Kueleza uhusiano wake na jamii inayomzunguka (nyumbani na shuleni)

Kueleza uhusiano wake na jamii inayomzunguka (nyumbani na shuleni)

 

 

 

 

J

U

L

A

I

 

1

5

Uhalisishaji wa tukio, maswali na maibu

- Picha/picha mguso/ michoro yenye kuonesha matendo ya kuhusiana

Maswali na maibu, mazoezi, majaribio

 

 

T.E.T. (2023) HISTORIA YA TANZANIA NA MAADILI, Kitabu Cha Mwanafunzi Darasa la III, Dar es Salaam

 

Kuwaongoza wanafunzi Kueleza uhusiano wake na jamii inayomzunguka (nyumbani na shuleni)

kueleza uhusiano wake na jamii inayomzunguka (nyumbani na shuleni)

2

5

Uhalisishaji wa tukio, maswali na maibu

Maswali na maibu, mazoezi, majaribio

Kuwaongoza wanafunbzi Kubaini umuhimu wa uhusiano na ushirikiano wa familia na rafiki zake

Kubaini umuhimu wa uhusiano na ushirikiano wa familia na rafiki zake

3

5

Kisamafunzo, maswali na majibu

Picha/picha mguso/ michoro yenye kuonesha shughuli za kijamii na kiuchumi

Maswali na maibu, mazoezi, majaribio

Kuwaongoza wanafunbzi Kubaini umuhimu wa uhusiano na ushirikiano wa familia na rafiki zake

Kubaini umuhimu wa uhusiano na ushirikiano wa familia na rafiki zake

4

5

Kisamafunzo, maswali na majibu

Maswali na maibu, mazoezi, majaribio

 

UMAHIRI MKUU

UMAHIRI MAHSUSI

SHUGHULI KUU ZA UJIFUNZAJI

SHUGHULI NDOGO NDOGO ZA UJIFUNZAJI

MWEZI

WIKI

VIPINDI

MBINU ZA UFUNDISHAJI NA UJIFUNZAJI

ZANA ZA UFUNDISHAJI NA UJIFUNZAJI

ZANA ZA UPIMAJI

REJEA

MAONI

 

 

Kuwaongoza wanafunzi Kueleza matendo ya kijamii na kiuchumi yanayojenga uhusiano na ushirikiano katika jamii

Kueleza matendo ya kijamii na kiuchumi yanayojenga uhusiano na ushirikiano katika jamii

 

 

 

A

G

O

S

T

I

1

5

Utafiti mdogo, mtaalamu mwalikwa

Picha/picha mguso/ michoro yenye kuonesha shughuli za kijamii na kiuchumi

Maswali na maibu, mazoezi, majaribio

 

T.E.T. (2023) HISTORIA YA TANZANIA NA MAADILI, Kitabu Cha Mwanafunzi Darasa la III, Dar es Salaam

 

Kuwaongoza wanafunzi Kueleza matendo ya kijamii na kiuchumi yanayojenga uhusiano na ushirikiano katika jamii

Kueleza matendo ya kijamii na kiuchumi yanayojenga uhusiano na ushirikiano katika jamii

2

5

Utafiti mdogo, mtaalamu mwalikwa

Maswali na maibu, mazoezi, majaribio

Kuwaongoza wanafunzi Kueleza matendo ya kijamii na kiuchumi yanayojenga uhusiano na ushirikiano katika jamii

Kueleza matendo ya kijamii na kiuchumi yanayojenga uhusiano na ushirikiano katika jamii

3

5

Utafiti mdogo, mtaalamu mwalikwa

Maswali na maibu, mazoezi, majaribio

MITIHANI YA NUSU MUHULA WA PILI

LIKIZO YA NUSU MUHULA WA PILI TAREE 30/08/2024 HADI 16/09/2024

2.0 KUMUDU HISTORIA YA TANZANIA NA MAADILI KABLA YA UKOLONI

2.1 KUELEZEA MIFUMO MBALIMBALI YA UTUNZAJI NA UKUZAJI WA MAADILI YA JAMII ZA KITANZANIA KABLA YA UKOLONI

Kuwaongoza wanafunzi Kueleza mifumo ya uongozi katika ngazi ya familia, ukoo na shule

Kueleza mifumo ya uongozi katika ngazi ya familia, ukoo na shule

S

E

P

T

 

3

5

Igizo dhima, utafiti mdogo, kutumia TEHAMA

- Picha/picha mguso michoro yenye kuonesha misingi ya maadili

Maswali na maibu, mazoezi, majaribio

 

 

 

T.E.T. (2023) HISTORIA YA TANZANIA NA MAADILI, Kitabu Cha Mwanafunzi Darasa la III, Dar es Salaam

 

Kuwaongoza wanafunzi Kueleza misingi ya ukuzaji na utunzaji wa maadili katika jamii inayomzunguka

Kueleza misingi ya ukuzaji na utunzaji wa maadili katika jamii inayomzunguka

4

5

Changanyakete, snowball, nyimbo

- Chati yenye kuonesha mifumo ya uongozi katika ngazi ya familia na ukoo

Maswali na maibu, mazoezi, majaribio

Kuwaongoza wanafunzi Kueleza mchango wa uongozi wa ukoo katika utunzaji na ukuzaji wa maadili ya jamii kabla ya ukoloni

Kueleza mchango wa uongozi wa ukoo katika utunzaji na ukuzaji wa maadili ya jamii kabla ya ukoloni

O

K

T

 

 

1-2

10

Utafiti mdogo, mtaalamu mwalikwa

Chati yenye kuonesha mifumo ya uongozi katika ngazi ya familia na ukoo

Maswali na maibu, mazoezi, majaribio

Kuwaongoza wanafunzi Kubaini wajibu wa jamii katika ujenzi wa maadili ya familia

Kubaini wajibu wa jamii katika ujenzi wa maadili ya familia

N

O

V

 

1-3

15

Bungua bongo, maswali na majibu, igizo dhima

- Chati zenye kuonesha wajibu wa jamii katika ujenzi wa maadili

Maswali na maibu, mazoezi, majaribio

MITIHANI YA MUHULA WA PILI

LIKIZO YA MUHULA WA PILI TAREHE 06/12/2024

 

AZIMIO LA KAZI HISTORIA YA TANZANIA NA MAADILI DARASA LA TATU 2024

JINA LA MWALIMU: __________________________________

JINA LA SHULE: SHULE YA MSINGI________________________

MAUDHUI YA HISTORIA A TANZANIA NA MAADILI DARASA LA TATU.

UMAHIRI MKUU

UMAHIRI MAHUSUSI

11.0 Kulinda Historia ya Tanzania, urithi na maadili ya Taifa

1.1 Kumudu dhana ya Historia ya Tanzania, urithi na maadili

 

1.2 Kumudu maarifa ya jamii inayomzunguka

 

1.3 Kutumia maarifa na ujuzi wa asili wa jamii inayomzunguka kusimulia asili, urithi, na maadili ya jamii husika

 

1.4 Kutathmini ushirikiano baina ya jamii za Kitanzania katika kujenga uhusiano wa kijamii na kiuchumi

2.0 Kumudu Historia ya Tanzania na Maadili kabla ya ukoloni

2.1 Kuelezea mifumo mbalimbali ya utunzaji na ukuzaji wa maadili ya jamii za Kitanzania kabla ya ukoloni

 

Post a Comment

tuachie comment ili tuboreshe huduma zetu
Visit Website
Visit Website