Azimio la Kazi Kuhusiana Awali 2026 PDF Download
Nini Maana ya Azimio la Kazi?
Azimio la kazi(kwa Kiingereza: scheme of work) ni mpango kazi (mwongozo) unaoandaliwa na mwalimu ambao unaonesha mpangilio wa kufundisha mada mbalimbali kwa kipindi maalumu katika muhtasari wa somo husika. Huo ni mpango wa ufundishaji kwa kipindi fulani ambao kila mwalimu anauandaa ili kukidhi lengo la ufundishaji.
Azimio la kazi Kuhusiana awali 2026 linapatikana kwa Tsh 2500, Azimio la kazi limeandaliwa kwa kuzingatia mtaala mpya wa Elimu.
Utapokea azimio ulilolipia kwa njia ya WhatsApp baada ya kukamilisha malipo na kututumia uthibitisho wa malipo kupitia WhatsApp.
Namba za malipo.
| Airtel money | |
|---|---|
| M-pesa | |
| Tigo pesa | |
| Halo pesa | |
| Jina: WAZIRI NTATIE | |
Utapokea azimio ulilolipia kwa njia ya WhatsApp baada ya kukamilisha malipo na kututumia uthibitisho wa malipo kupitia WhatsApp.
Mfano wa Azimio la Kazi Kuhusiana Awali (PDF) 2026
Unahitaji mfano wa azimio la kazi kuhusiana awali? Pakua Mfano wa PDF Hapa.
Azimio la Kazi Kuhusiana Awali 2026 – Mtaala Mpya
Ikiwa unatafuta azimio la kazi kwa mtaala mpya wa elimu, Bofya hapa kwa PDF.
Jinsi ya Kuandika Azimio la Kazi Kuhusiana Awali 2026 Weka malengo wazi
- Tambua vifaa na rasilimali
- Andika hatua kwa mpangilio
- Bainisha muda na majukumu
Kwa mahitaji ya azimio wasiliana nasi hapa chini
UMIHIMU WA AZIMIO LA KAZI 2026
- Kumsaidia mwalimu kwenda na mpangilio mzuri wa mada.
- Humsaidia mwalimu wapi alipofikia na kumfanya mwalimu anayempokea somo lake kujua wapi alipoishia.
- Kujua muda wa kumaliza mada yake/zake. Kumwezesha mwalimu kujua zana atakazozitumia katika ufundishaji wake.