Visit Website

Maazimio ya Kazi Shule za Msingi 2026 – Mtaala Mpya (PDF Download)

Maazimio ya Kazi 2026 – Mtaala Mpya wa Elimu ya Msingi 2026, Maazimio ya Kazi Shule za Msingi 2026 – Mtaala Mpya (PDF Download) 2026

Join Our Groups

Maazimio ya Kazi Shule za Msingi 2026 – Mtaala Mpya (PDF Download)

Maana ya Maazimio ya Kazi

Maazimio ya kazi (kwa Kiingereza: Scheme of Work) ni mpango wa kazi unaoandaliwa na mwalimu kwa ajili ya kufundishia somo fulani katika kipindi maalumu cha muda. Ni ramani ya ufundishaji inayoonesha jinsi kila mada itakavyofundishwa kulingana na mtaala mpya wa elimu ya msingi.

Maazimio ya kazi shule za msingi 2026 yanapatikana kwa Tsh 2500. Yameandaliwa kwa kuzingatia mtaala mpya wa Elimu ya Msingi ulioboreshwa kwa mwaka 2026.

Namba za malipo

Airtel Money
M-Pesa
Tigo Pesa
Halo Pesa
Jina: WAZIRI NTATIE

Utapokea maazimio uliyolipia kupitia WhatsApp baada ya kuthibitisha malipo yako.

Mfano wa Maazimio ya Kazi Shule za Msingi (PDF)

Unahitaji mfano wa maazimio ya kazi shule za msingi kwa mwaka 2026? Download Mfano wa  azimio la kazi PDF Hapa.

Maazimio ya Kazi – Mtaala Mpya wa Elimu ya Msingi 2026

Maazimio haya yameandaliwa kwa kuzingatia mtaala mpya wa elimu ya msingi wa mwaka 2026. Download azimio la kazi  PDF.

Jinsi ya Kuandaa Maazimio ya Kazi

  • Weka malengo ya ufundishaji kwa kila wiki au mwezi.
  • Tambua rasilimali na vifaa vya kutumia darasani.
  • Andika mpangilio wa mada kwa ufuatiliaji rahisi.
  • Bainisha muda, njia za tathmini, na matokeo yanayotarajiwa.
Kwa mahitaji ya maazimio ya kazi, wasiliana nasi hapa chini

Umuhimu wa Maazimio ya Kazi

  • Humsaidia mwalimu kufundisha kwa mpangilio sahihi.
  • Hufanya ufuatiliaji wa mada kufanyika kwa urahisi.
  • Huonyesha muda wa kufundisha na kumaliza kila somo.
  • Huandaa mwalimu kwa zana na mbinu bora za ufundishaji.

Join Our Groups

Post a Comment

Visit Website
Visit Website