Mfano wa cv iliyoandikwa kwa kiswahili pdf | Mfano wa cv nzuri ya kiswahili | mfano wa cv pdf | mfano wa cv nzuri ya kiingereza | mfano wa cv ya mwalimu | mfano wa cv download | mfano wa wasifu kazi | jinsi ya kuandika wasifu
CV au wasifu ni kitu cha lazima kwa yeyote anayeomba kazi. Watu wengi
wanaokosa kazi, tatizo huwa siyo wao, bali tatizo huwa ni CV zao. Kumekuwa
na makosa mengi katika uandishi wa CV jambo ambalo limesababisha watafuta
kazi wengi kushindwa kuitwa kwenye usaili.
Related Posts
Makala hii itakueleza namna sahihi ya kuandika CV, utaitwa katika
‘interview’ nyingi endapo utaandika CV sahihi. Tena
nakukumbusha, kila taaluma ina aina yake ya CV, CV ya rubani haifanani na
CV ya injinia. Vivyo hivyo, CV ya mpishi haifananani na CV ya
Mwalimu.
Pia nakukumbusha usome
jinsi ya kuandika barua ya maombi ya kazi, kwani CV huenda pamoja na barua ya maombi ya kazi.
CV Bora ni Ipi? Ukurasa Mmoja au Kurasa mbili hadi tatu?
CV bora ni ile yenye kurasa mbili hadi tatu. Watu wengi wanapojifunza
namna ya kuandika CV, wamekuwa wakiona CV zenye ukurasa mmoja, picha nzuri
na zimepambwa kwa rangi nyingi. nao hutamani kuwa na CV za aina hiyo.
Ieleweke kwamba, kila nchi ina utaratibu wake inaofuata katika masuala ya
uandishi. Nyingi ya CV hizo zinawahusu hasa watu kutoka Ulaya. Mfumo mzuri
na unaokubalika katika nchi yetu ni ule wa CV inayoanzia kurasa mbili na
kuishia kurasa tatu. CV yenye ukurasa mmoja haitoshi kuonesha mambo yako
kwa nafasi na inawaeleza waajiri wako kuwa huna uzoefu wa kutosha.
Andika CV yako, siyo lazima kuweka picha, lakini kama unataka basi iweke
upande wa juu kushoto. Kama CV yako inapokelewa kama nakala ngumu, bandika
picha ya 'passport' upande wa juu kulia.
CV Hatua kwa Hatua
Hatua ya kwanza nitaonesha mfano wa CV kwa lugha ya Kiswahili na hatua ya
pili nitaonesha mfano wa CV kwa lugha ya Kiingereza halafu utachagua
mwenyewe utumie lugha gani katika kuandika CV yako.
CV ya kwanza, ni CV ya kawaida, ni aina hii ya CV utaikuta katika vitabu
mbalimbali na hufundishiwa wanafunzi:
Mfano wa Kwanza: CV ya Kiswahili ambayo ni ya kawaida
WASIFU WA SAMWEL MANATI MALUMBAGA
Taarifa za Awali
Jina: Samwel Manati Malumbaga
Ndoa: Ameoa
Barua Pepe: elimufix@gmail.com
Simu: 0748074275
Utaifa: Mtanzania
Tarehe ya kuzaliwa: 09/03/2002
Historia ya Elimu
2007-2008, VETA Dodoma.
2013-2016, Shule ya Sekondari Kiwanja cha Ndege. Cheti cha Kidato cha Nne.
19966-2012, Shule ya Msingi Makole. Cheti cha Darasa la Saba.
Uzoefu
2012-2013,
Mgodi wa Bulyanhulu.
Maarifa
- Kutumia Kompyuta.
Ninapenda
Kufanya kazi, Kufundisha, Kusoma, Kujifunza mambo mapya.
Wadhamini:
1. Mwalimu Makoba
Barua Pepe: daudmakoba@rocketmail.com
Contact: 0754 89 53 21
Dar es Salaam.
2. David Mwakimonga,
Mkufunzi,
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,
S.L.P 35040,
Dar es Salaam.
Mfano wa Pili ni mfano wa CV iliyo katika lugha ya Kiingereza, lakini CV
hii ni ya kawaida.
Mfano wa Pili: CV ya kiingereza ya Kawaida
CURRICULUM VITAE OF MATIKO PANDAMELI
Particulars
Name: Matiko Pandameli
Marital status: Single
E-mail: matiko@gmail.com
Telephone: 0653 250 566
Nationality: Tanzanian
Date of birth:
14/10/1996
PROFILE
I am a creative, influential, corporative and enthusiastic person with
well-organized performance, intellectual and competence in the areas of
health.
Academic Background
|
Duration
|
Institute attended
|
Award
|
|
2017-2019
|
Rukwa College of Health and Allied Sciences
|
Diploma in Medical Attendant
|
| 2015-2017 | Bagamoyo Secondary School | Advanced Certificate of Secondary Education (ACSE) |
| 2011-2014 | Nkasi Secondary School | Certificate of Secondary Education(CSE) |
|
2004-2010
|
Namanyere Primary School | Certificate of Primary Education |
Work experience
Place:
Nazareti Dispensary in Mbozi Songwe
Position:
Medical attendant
Date:
October 2014 – January 2015
Place:
Matai Dispensary in Karambo Rukwa
Position:
Medical Attendant
Date:
March 2016 - May2016
Language Proficiency
Swahili:
Excellent written and oral skills.
English:
Excellent written and oral skills.
Skills
- Presentation and teaching skills.
- Communication skills.
- Good interpersonal skills.
- Computer literate: competent in MS Word, MS Excel, MS Publisher, MS
PowerPoint.
Interests
Teaching, social networks, creative writing, music, reading books, football,
swimming, playing game.
Referee available on request
Mwalimu Makoba,
Mwalimu Makoba Open School,
Email: daudmakoba@rockemail.com,
Contact: 0754 89 53 21,
Dar es Salaam.
Mr. David Mwakimonga,
Assistant Lecturer,
University of Dar es Salaam,
P.
O. Box 35040,
Dar es Salaam.
Mr. Jonathan Tangwa,
Principal of IEDS,
P.O.Box 7775,
Dar es Salaam.
Declaration
I, SAMWELI MANATI MALUMBAGA, do hereby declare and state that, the
information given on this curriculum vitae is true to the best of my
knowledge.
Mfano wa Tatu: CV ya Kiingereza Iliyoandikwa Kitaalamu Zaidi
Mfano huu ni wa CV ya kitaalamu zaidi. Kazi zote nilizowahi kuomba,
niliandaa CV yangu katika mfumo huu na mara zote niliitwa katika
interview. Watu wengi niliowahi kuwaandikia CV na ninaoendelea kuwaandikia
CV nimekuwa nikitumia mfumo huu unaokubalika kwa waajiri wote, yaani
binafsi na serikali. Tazama mfano wake:
Mfano wa Nne: CV ya Mwalimu-Kiingereza
Kitaalamu Zaidi, Tunaweza Kukuandikia Barua ya Maombi ya Kazi na CV
Uitwe Katika Usaili na Upate Kazi. Barua Tsh. 5,000/= na CV Tsh.
9,000/= Kuwasiliana Nasi.
Gusa hapa kama uhaitaji kutengenezewa CV
Mfano wa cv iliyoandikwa kwa kiswahili pdf | Mfano wa cv nzuri ya kiswahili | mfano wa cv pdf | mfano wa cv nzuri ya kiingereza | mfano wa cv ya mwalimu | mfano wa cv download | mfano wa wasifu kazi | jinsi ya kuandika wasifu
